Tuesday, September 26, 2017

Ashleigh Amzamisha konta- Wuhan

Ashleigh Amzamisha konta- Wuhan

Johanna Konta ameshindwa kufurukuta dhidi ya Ashleigh BartyHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJohanna Konta ameshindwa kufurukuta dhidi ya Ashleigh Barty
Mwingereza Johanna Konta ameshindwa kufurukuta dhidi ya Ashleigh Barty baada ya kufungwa katika mchezo wa raundi ya pili katika michuano ya Wazi ya Wuhan, China.
katika mchezo huo Konta alijitahidi kukabiliana vikali na mpinzani lakini mwishoo alijikuta anapoteza mchezo kwa kufungwa 6-0 4-6 7-6 (7-3) .
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amepoteza mechi saba za zamani zilizopita tangu kufikia nusu fainali za Wimbledon. Naye Peng Shuai wa china amemgalagaza Petra Kvitova wa Jamhuri ya Czech seti 7-6 (9-7) 6-7 (5-7) 7-6 (7-3) katika mchezo ambao ulijaa upinzani .

0 comments:

Post a Comment